KING KAKA – NJIA FT BRIDGET BLUE LYRICS

Uuuh..waaaa..uuuu. Nimegrow Empty oflate na my soul ni see through/

My mom is still sick ikifika usiku/ Phone iko by my bedside just in case/

Na honestly na miss our Happy Days/ You are a fighter mom manze God akubless/

As much as me ni big boss,na learn/ Usiku uwa na Toss and turn/

Na ukifeel pain,uwanga naifeel pia/ Saa zingine ata Hope inadidimia/

Hakuna story ya man hapa, manze mi ulia/

Na kama science inapeleka wasee uko kwa sky/

Kwani dawa ya mother ndio mmeshindwa kuwai/

Ata nimechukua car keys,Ma niko kwa ndai/

Na God sikuquestion najua wee ndio answer/

Lini miracle itaanswer Chorus(Bridget Blue) Nipe jibu kama baba unanisikia Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia mi nitapitiaaaaa Swale..Nina Maswale Swale ..Nina maswale

(King Kaka Verse II)

Okay.. Nimegrow Empty of late na my soul ni see through/

Hii safari bila taa ni Kama misitu/

Ulisema you are the way,the truth the life/

Macho yangu iko Kwa sky,nionyeshe ata ka light/

I am not questioning sijai kudoubt kabisa/

niliambiwa student mzuri ni maswali atauliza/

How comes mom anaugua hizi miaka zote?/

How comes mom haponi na hizi dawa zote?/

Na hawa madaktari wananitake in circles/

Sijaweka imani kwao,nimeweka imani kwako/

Sometimes Niko impatient juu wee uko on time/

Labda sijafikiwa request iko Kwa line/

You have shown me before,show me one more time/

Umenibless sikatai lakini vile mom anaugua haifai/

Chorus(Bridget Blue)

Nipe jibu kama baba unanisikia Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia mi nitapitiaaaaa Swale..Nina Maswale Swale ..Nina maswale (King Kaka) Unajua..Najua God umenibless and I’m not eti eti nakuzushia or anything Sikuzushii manze Najua this is a song nafaa nirhyme and all But I feel..Nataka tu tuhave a one on one yani And I’m not..I’m not being ungrateful yaani Ndio wasee wanacheki life yangu and they see I have a beautiful family nini Ai..but God please Manze ata Kama ni test it’s enough yani,si wee ndio the answer Hii test umenipea ni Kama nimefail yani,wee ndio the answer Please please..tafadhali..please manze Uuuuuhhhh—-yayayaya Uhhhhh..yayaya

Chorus(Bridget Blue)

Nipe jibu kama baba unanisikia Na kama una-ni-si-ki-a Nionyesheee ile njia mi nitapitiaaaaa(yeee) Nipe jibu kama baba una-ni-skia Na kama unanisikia ni-o-nyesheee ile njia nitapitiaaaaa

Comments

0 comments