Zari has been accused of neglecting her poor brothers

Zari  has been accused of neglecting her poor brothers

Zari Boss lady flamboyant lifestyle is well documented on social media, from trips to exotic locations to shopping in exclusive stores and her big houses located in High-end places in South Africa.

However, Reports from Uganda says otherwise about Zari’s home where she was born and raised for some time before her parents parted ways.it has been reported that Zari’s brothers are living in abject poverty while Zari is serving online fans with a cup of flashy lifestyle.

 

Zari has neglected his family members and home, read the post below:

Tunaofahamu kijijini kwao (Jinja), tunashangaa kama kweli ana utajiri kama anavyojinadi maana maisha ya ndugu zake ni ya chini. Hata nyumba ya bibi yake na ndugu zake hazina hadhi ya yeye kujiita Boss Lady. “Inawezekana kweli ana utajiri mkubwa wa fedha, majumba na magari ya kifahari huko Kampala na Afrika Kusini. “Tumemuona mara kadhaa akinadi majumba yake ya ghorofa na hoteli zake za Munyonyo (Kampala).

Pia majumba yake ya Pretoria na Johannesburg huko Afrika Kusini (Sauz) aliyoachiwa na marehemu mumewe, Ivan Ssemwanga na ile aliyonunuliwa na mpenzi wake wa sasa asiyo famika sura #kingbae

“Pia ukimuona Zari akiposti mapicha akiwa na yale magari yake ya kifahari kama Hummer H2, Ferrari, Lamborghini, Mercedes Benz na mengineyo, ukioneshwa nyumbani kwao kule Jinja unaweza kubisha, lakini ukweli ndiyo huo,”

“Kiukweli kwa fedha alizonazo, Zari alipaswa kupajenga kwao maana ndipo nyumbani kwao, ndipo asili yake na mwacha asili ni mtumwa, hatuandiki kwa ubaya ila tunafanya hivi kumkumbusha kwao apajenge napo paendane na hadhi yake kama anavyopenda kujiweka aonekane ‘high class’.

“Tunachofahamu ni kwamba, mama mzazi wa Zari (Fatuma Hassan) aliolewa na baba yake Zari huko Jinja, lakini kadiri muda ulivyosonga, wazazi wa Zari walitengana ambapo mama Zari alipitia mambo mengi sana katika kuwalea wanaye nane akiwemo Zari wakiishi maisha magumu ya kijijini kule Jinja.

Comments

0 comments